Yakobo alivuka akiwa na fimbo tu lakini Mungu alimbariki kwenye nchi ya ugeni.Nawe pia yawezekana unaingia mwaka 2020 ukiwa huna kila kitu,huna kazi huna mtaji wala huna chochote lkn Mungu anakwenda kukuinua kwakua umevuka na neno la Mungu amini anakwenda kukuinua Mungu wa Dunia.
Baba yake na yakobo hakumpa yakobo shamba wala mali bali alimpa neno la Baraka.Nami leo nakutamkia Baraka za Mungu zimiminike kwako mwaka 2020.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.