Mungu akinyamaza kimya kwenye jambo lako, unalotaka au unalotamani aongee BASI NA WEWE NYAMAZA KIMYA, NA KAMA ITABIDI KUONGEA HAKIKISHA MANENO YAKO NI YA KUMSHUKURU KWA KUNYAMAZA KWAKE KIMYA.
Kwanini kanyamaza?
Ni kwa sababu madhara ya kile alichokuepusha nacho yalikuwa makubwa kuliko maumivu unayoyapitia sasa.
Ndani ya maumivu ya kuachwa kwako, kakuepusha na kifo hivyo badala ya kuumia na kulia na kulaumu WEWE MSHUKURU.
Ndani ya kufukuzwa kwako kazi, KAKUEPUSHA NA KUFUNGWA JELA KWA KESI MBAYA AMBAYO ITAKUJA BAADAYE AMBAYO USINGEPONA.
Ndani ya kutengwa na wenzako, kakuepusha na ajali AMBAYO ingetokea baadaye na kuondoka nao, ambapo hata wewe usingesalimika.
ACHA KULIA SHUKURU, MAANA KAKUEPUSHA NA JAMBO KUBWA KULIKO MAUMIVU HAYO, NDIO MAANA PAMOJA NA KULIA SANA KANYAMAZA KIMYA MAANA HUJUI AMBALO LINGEKUPATA.
CantonaJoseph’s contacts
Facebook https://www.facebook.com/CantonaJoseph/
Instagram https://www.instagram.com/Cantona.Joseph.
Twitter https://twitter.com/@CantonaJoseph
LinkedIn https://www.linkedin.com/in/CantonaJo…
Management Fortune Baraka Entertainments
Website https://CantonaJoseph.Wordpress.Com
Email fortunebaraka.entertainmentsltd@gmail.com cantona.online254@gmail.com
Contacts +254748836127
Wewe ni wa maana sana!
Copyrights Reserved @2019 FortuneBaraka Entertainments.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.