1 John 2:19
Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu. Maana kama wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu.
Sio kila kinachokuja kwako ni chako, na si kila kinachoondoka kwako ni chako, hata kama kinaumiza sana haimaanishi ni chako, vingine Mungu anaviondoa ili ubaki salama. Iwe kazi, nafasi, mtu, cheo, biashara , mahusiano nk kama yanaondoka kwa maumivu jifunze kuyaacha yaende ili upate nafasi ya kujua nini kusudi la Mungu kuruhusu viondoke.
Usizubae wala kubaki unalialia
CantonaJoseph’s contacts
Facebook https://www.facebook.com/CantonaJoseph/
Instagram https://www.instagram.com/Cantona.Joseph.
Twitter https://twitter.com/@CantonaJoseph
LinkedIn https://www.linkedin.com/in/CantonaJo…
Management Fortune Baraka Entertainments
Website https://CantonaJoseph.Wordpress.Com
Email fortunebaraka.entertainmentsltd@gmail.com cantona.online254@gmail.com
Contacts +254748836127
Wewe ni wa maana sana!
Copyrights Reserved @2019 FortuneBaraka Entertainments.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.