1.Tunawapenda watu wazuri, wenye hekima, wenye mvuto, maarufu, watu maalum, watu wema, sababu ya kuwapenda ni kwamba TUNAWAHITAJI WAJE WAONGEZE THAMANI KWENYE MAISHA YETU.
2. Tunawapenda watu wajinga, wapumbavu, wabaya, wakorofi, wagomvi, wanaoudhi, wachafu, wabaya nk. Sababu ni moja tu nayo ni kuwa WANATUHITAJI SANA TUONGEZE THAMANI KWENYE MAISHA YAO.
Huu ndio upendo wa Mungu ambao hauko tayari kupokea bali kutoa, na ndivyo Mungu anavyotupenda sio kwa sababu anatuhitaji Bali tunamuhitaji yeye.
CantonaJoseph’s contacts
Facebook https://www.facebook.com/CantonaJoseph/
Instagram https://www.instagram.com/Cantona.Joseph.
Twitter https://twitter.com/@CantonaJoseph
LinkedIn https://www.linkedin.com/in/CantonaJo…
Management Fortune Baraka Entertainments
Website https://CantonaJoseph.Wordpress.Com
Email fortunebaraka.entertainmentsltd@gmail.com cantona.online254@gmail.com
Contacts +254748836127
Wewe ni wa maana sana!
Copyrights Reserved @2019 FortuneBaraka Entertainments.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.