Epuka magonjwa ya moyo.

Subiri nikuambie kitu hamisha moyo wako ulipouweka kunawatu YESU NI BWANA NA MWOKOZI WENU lakini akili zenu na mioyo yenu imeshikiliwa na watu wengine kana kwamba wakiondoka katika maisha yenu mmebaki na maumivu ya milele siku moja tu msipo waona mnaumwa jamani umezaliwa mwenyewe na utakufa mwenyewe na utalipwa mwenyewe kwanini huo moyo wako usimjaze Mungu maana yeye ndie anamapenzi ya kweli ukimjaza Mungu vyengine utaviona vidogo mno viweke nafasi ya pili ili hata vikiondoka ubaki kama ulivyo epuka magonjwa ya moyo yasio na lazima baba mama mume na marafiki nilazima vikuache tu ila MUNGU WETU ADUMU MILELE.



CantonaJoseph’s contacts
Facebook https://www.facebook.com/CantonaJoseph/
Instagram https://www.instagram.com/Cantona.Joseph.
Twitter https://twitter.com/@CantonaJoseph
LinkedIn https://www.linkedin.com/in/CantonaJo
Management Fortune Baraka Entertainments
Website https://CantonaJoseph.Wordpress.Com
Email fortunebaraka.entertainmentsltd@gmail.com cantona.online254@gmail.com
Contacts +254748836127
Wewe ni wa maana sana!

Copyrights Reserved @2019 FortuneBaraka Entertainments.




Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment