Kuna sababu kubwa ya wewe kuendelea kuishi duniani,ni Mungu amekuacha hai kwa kusudi maalumu,sio kwa ujanja au bahati yako hapana Mungu anataka ufanye ambalo alitaka ulifanye ukiwa duniani,Neno linasema kabla ya kuzaliwa duniani ulikua ukiishi mbinguni Mungu akaona kuna jambo linapungua duniani na ndio maana akakuleta wewe ulitimize kwa kumuwakilisha yeye Mungu.
Ni mbaya sana kuishi bila kujua kusudi lako yawezekana Mungu amekuleta duniani kupitia wewe ukaokoe ukoo wako ambao tayari shetani alikua ameunganisha na laana fulani wewe ndio wa kuvunja na kusaidia ukoo wako.Haya ni maombi maalum kwanza
Kumshukuru Mungu kwa kumaliza mwaka,Mungu yeye hututangulia kabla ya sisi hatujafika ndio maana anaweza tamka ushindi wakati bado uko vitani,anatamka uponyaji ukiwa bado mgonjwa (Kumb 9:1)
Pili ni maombi ya kumsihi Mungu akuonyeshe kusudi lako kuwepo duniani.Ndani ya kusudi kuna kipawa ni wakati wa kumsihi Mungu ainue kipawa chako ili utimize malengo yako.
Kama husikii wito wowote ndani ya moyo ni muda wa kuomba sasa Mungu amekupa neema ya kuuona Mwaka 2020 akiwa na maana kubwa.
Jiunganishe na maombi haya ,tunapojiandaa kusherekea kuzaliwa kwa mwana wetu Yesu kristo.Na kuvuuka mwaka 2020.
CantonaJoseph’s contacts
Facebook https://www.facebook.com/CantonaJoseph/
Instagram https://www.instagram.com/Cantona.Joseph.
Twitter https://twitter.com/@CantonaJoseph
LinkedIn https://www.linkedin.com/in/CantonaJo…
Management Fortune Baraka Entertainments
Website https://CantonaJoseph.Wordpress.Com
Email fortunebaraka.entertainmentsltd@gmail.com
cantona.online254@gmail.com
Contacts +254748836127
Wewe ni wa maana sana!
Copyrights Reserved @2019 FortuneBaraka Entertainments.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.