1 Je! Hekima halii?Ufahamu hatoi sauti yake?2 Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia,Penye njia panda, ndipo asimamapo.3 Karibu na malango, mahali pa kuingia mjini,Mahali pa kuyaingilia… Read more “Ufahamu hautoi sauti na hekima halii!!!”
Month: December 2019
Baraka za Mungu zimiminike kwako mwaka 2020.
Yakobo alivuka akiwa na fimbo tu lakini Mungu alimbariki kwenye nchi ya ugeni.Nawe pia yawezekana unaingia mwaka 2020 ukiwa huna kila kitu,huna kazi huna mtaji wala huna… Read more “Baraka za Mungu zimiminike kwako mwaka 2020.”
NAMNA YA KUOMBA MAOMBI YA KUMFICHUA ADUI YAKO
Watu wengi wanaomba lakini bila kujua adui yao ni naniLazima ujue adui yako ni nani na ana siraha gani na yuko wapi ili unapotupa makombola yampate sawasawa… Read more “NAMNA YA KUOMBA MAOMBI YA KUMFICHUA ADUI YAKO”
Endelea kumwamini Mungu
Kilichofanya wakina Mariam na Magdalena kuendelea kwenda kaburini alipo lala Yesu baada ya kufa wakiwa na manukato na manemane na uvumba sio tu upendo bali walillishika neno… Read more “Endelea kumwamini Mungu”
Waimbaji wanaoi bukia katika,huduma[Limbukeni]
Mungu amekupa huduma nzuri sana lakini inahitaji unyenyekevu sana maana aliyepewa wa kwanza (rucifer) ilimshinda kwa sababu ya kiburi. Ufuatao ni ushauri wangu, ili ufike mbali.1. Ukiitwa… Read more “Waimbaji wanaoi bukia katika,huduma[Limbukeni]”
Mithali za Suleimani mwana wa Daudi.
Utangulizi 2 Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu; 3 kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili. 4 Kuwapa wajinga werevu, na kijana… Read more “Mithali za Suleimani mwana wa Daudi.”
Tega sikio lako!!!
1 Mwanangu, sikiliza hekima yangu;Tega sikio lako, mzisikie akili zangu; 2 Upate kuilinda busara,Na midomo yako iyahifadhi maarifa. 3 Maana midomo ya malaya hudondoza asali,Na kinywa chake… Read more “Tega sikio lako!!!”
Hatulegei jinsi tulivyopata rehema.
1 Kwa sababu hiyo, kwa kuwa tuna huduma hii, kwa jinsi tulivyopata rehema, hatulegei; 2 lakini tumekataa mambo ya aibu yaliyositirika, wala hatuenendi kwa hila, wala kulichanganya… Read more “Hatulegei jinsi tulivyopata rehema.”
The key to increase in 2020 !!!
Right now as we are standing on the doorstep of 2020, simply walk in… and I declare deliverance and freedom over your house as you do!. I proclaim… Read more “The key to increase in 2020 !!!”
Kuavya Mimba ni dhambi.
Siku za hivi karibuni,niliwai nena na msichana mmoja redioni katika harakati yangu ya kila siku kupakua kipindi kinachohusiana na mahusiano,kufuatia ujumbe alioutuma. Alikua mwenye majonzi tele,hali ya… Read more “Kuavya Mimba ni dhambi.”