Sio kila kinachokuja kwako ni chako.


Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu. Maana kama wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu.
Sio kila kinachokuja kwako ni chako, na si kila kinachoondoka kwako ni chako, hata kama kinaumiza sana haimaanishi ni chako, vingine Mungu anaviondoa ili ubaki salama. Iwe kazi, nafasi, mtu, cheo, biashara , mahusiano nakadhalika kama yanaondoka kwa maumivu jifunze kuyaacha yaende ili upate nafasi ya kujua nini kusudi la Mungu kuruhusu viondoke.
Usizubae wala kubaki unalialia SONGA MBELE HUNA MAISHA MAWILI, HIVYO MUNGU AKUSAIDIE. Soma 1 Yohana 2:19
Naamini nimeongea na mtu hapa.

#Iposiku #GetInspired #TwapigaHatuaPamoja. #CantonaJosephMotivates.

CantonaJoseph’sWorld. #CantonaJosephIntMinistry.

Links

YouTube: Official CantonaJoseph
YouTube: CantonaJoseph Int Online Media

Contancts:

Facebook : Cantona Joseph

Tweeter @cantonajoseph.

Instagram:cantona.joseph

©2019 FortuneBaraka Entertainments|All rights Reserved


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment