Nimeelewa kwanini Neno linasema wapendeni maadui waombeeni mema wanaowauza, nimejua nikwasababu hakuna mafanikio bila maadui. Maadui wanafanya uongeze kiu ya kutaka, maadui wanakufanya usirelax wakati huna kitu,… Read more “Penda adui yako.”
Month: August 2019
UMUHIMU WA KUWA WEWE.
Kila mtu unayemuona duniani Mungu aliruhusu awepo kwa kusudi maalum. Ndiyo sababu kila mtu alizaliwa siku yake, saa yake na kwa namna yake .Hata mapacha hubishana muda… Read more “UMUHIMU WA KUWA WEWE.”
Safari yangu Kitaaluma.
Sehemu ya pili. Hivi leo iwapo nisingekua mwanahabari wa mwengoya,ningelikua mwanahabari wa runinga.Mwaka 2006 fursa mbili,zilibisha hodi mwenye tabasamu kujiunga na KTN kitengo cha habari za kiswahili… Read more “Safari yangu Kitaaluma.”
Safari yangu Kitaaluma.
Mwaka wa 2003,Nilikua miongoni mwa wanahabari walioteuliwa kusoma habari za lugha ya kiswahili katika kituo cha Sayare Radio na Runinga mjini Eldoret.Kikosi yicho nakikumbuka vizuri Sana.Beatrice Gatonye… Read more “Safari yangu Kitaaluma.”
THERE IS TOMORROW
Whenever you are dealing with people, you must always remember that there is tomorrow and you might need them. Don’t destroy that bridge today you never understand… Read more “THERE IS TOMORROW”
Times doesn’t end.
It is a mistake to think time ends, Times doesn’t end, Time is here with us,until the end of the world. Don’t waste time,use it well.You waste… Read more “Times doesn’t end.”
Mungu hujibu hitaji letu.
Mungu hajawahi chelewa kujibu hitaji la mtu,husikia sala na maombi yako.Neno linasema yale yote tuombayo tukiwa tunasali yameshakuwa yetu (Marko 11:24).Shetani huwa anasubiri siku ambayo unakwenda kubarikiwa… Read more “Mungu hujibu hitaji letu.”
You are butterfly.
In this journey of life,you might find yourself like a caterpillar, with time God opens the heaven and you become a butterfly. Who said you can’t achieve… Read more “You are butterfly.”
Always be greatful part 1.
The qualifications that gave you a job are the same qualifications someone has, but doesn’t have a job……. Be grateful.The prayer God answered for you, is the… Read more “Always be greatful part 1.”
Mungu ana mipango mizuri na maisha yako.
Mungu anajua nini unastahili kupata,kama Baba alikwisha kuandaa misingi ya maisha yako ili yawe bora.Kuna muda unaweza kuomba lakini ukaona hupokei majibu, unaweza ukawa unaomba Mke au… Read more “Mungu ana mipango mizuri na maisha yako.”