Kuna njia mbalimbali ambazo Mungu hutumia kuongea na watu,ndoto ni moja kati ya njia zake,unaweza pokea ujumbe kupitia ndoto,Mungu hutumia ndoto kukuonesha jambo fulani ukiota mnyama au unakimbizwa na kitu fulani haimaanishi kama ulivyo ona kwenye ndoto ni kama mtoto mdogo ambaye hajui kusoma lakini ukimchorea Embe atajua na kusema hilo ni embe ndivyo Mungu ambavyo anaongea na wewe kwakua anajua ni vigumu kuelewa kama akikuonesha viumbe wa rohoni utashindwa kuelewa lakini ukiona nyoka haimaanishi nyoka ni uchawi unakuandama na mizimu, inakusumbua,ukiona mbwa ina maana yake ukiona wanyama wakali pia ina maana yake,wale sio wanyama bali kwenye ulimwengu wa Roho kuna tafsiri yake Mungu anakuonesha ili utambue unawindwa na aina gani ya maadui ni nini ufanye ili kuwa salama.Endelea kumtumainia Mungu.
Iposiku #Getinspired #CantonaJosephMotivates All rights reserved©2019

Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.