Kila tatizo linahitaji ufumbuzi tofauti.

Neno la Mungu usilisome kama hadithi,unapo omba lazima ujue una muomba nani na ananguvu ipi.
Ukikariri neno la Mungu huwezi pokea ni kama naamani alikariri kwamba akishikwa sehemu yenye ukoma ndipo atapona lakini alipoenda kuoga mto Yordani alipona sawa sawa na neno la mtu wa Mungu.Kila tatizo linahitaji ufumbuzi tofauti, kwenye kila jambo kuna ufunuo wake wa Ki Mungu ili kutatua,nikisema umepona amini hivyo kwakua ni Mungu ndiye amenitumia nikuambie umepona kama usipo amini huwezi kupona lakini neno hilo hilo limemponya mwingine kwakua aliamini.
Pokea baraka za Mungu,pokea uponyaji,pokea kibali,pokea hitaji la Moyo wako Na Mungu asikupungukie.
Iposiku #Getinspired #CantonaJosephMotivates All rights reserved©2019


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment